Maneno ya Idris baada ya Wema kutakiwa kulipa faini ya Milioni 2

 
Baada ya hukumu ya Wema Sepetu kutoka leo July 20,2018 na kuhukumiwa mwaka mmoja jela au kulipa faini ya shilling Milion 2 kutokana na kupatikana na hatia ya kutumia dawa za kulevya aina ya bangi, Mpenzi wa zamani wa Wema Idris Sultan ameandika yafuatayo.
Idris amesema kuwa atamsaidia kulipa faini hiyo ya Milion 2 aliyoamuriwa na mahakama ambapo maneno hayo ameyasema kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya ku-post nusu picha ya Wema Sepetu na kuandika “🍒 wa sultan hawakai mbali na Sultan kama vipi nitalipa 😒”

Comments

Popular posts from this blog

Janga la Yanga si la Kitoto

Mwinyi aongoza maziko ya baba mkwe wa Kikwete

HII NI NEEMA KWA MRISHO MPOTO