Mrisho mpoto atoa shukrani kwa wananchi Baada ya kitendo cha Wananchi
Kumpatia sifa juu ya Kudumisha na kupendelea kuvaa mavazi ya kiafrika
ambayo akimalizia kwa kusema Hii ni nema Kwangu na Kuwahaidi watanzania
ya Kwamba atakau nao bega kwa bega katika kurinda maadili ya mavazi na
kuwashauri wasanii wenzake wajijengee tamaduni ya kutumia mavazi ya
kinyumbani katika kazi zao za kisanaa.
Comments
Post a Comment