Maagizo 10 ya Waziri Kangi Lugola kwa IGP na wengine

 
July 21, 2018 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola Alizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu matamko na maagizo mbalimbali aliyoyatoa tangu aapishwe kushika nafasi hiyo na Rais Magufuli.
Nakusogezea Maagizo 10 aliyoyatoa wakati anaongea na Waandishi wa Habari.
“Nimemuagiza Mkurugenzi wa NIDA afike Ofisini kwangu Dodoma tarehe 25 akiwa na waliopewa tenda ya kuleta mtambo wa kutengeneza vitambulisho vya Taifa kuja kunieleza kwa nini mtambo huo haujaletwa au waje na pesa walizopewa”.

Comments

Popular posts from this blog

Janga la Yanga si la Kitoto

Mwinyi aongoza maziko ya baba mkwe wa Kikwete

HII NI NEEMA KWA MRISHO MPOTO