Maneno ya Idris baada ya Wema kutakiwa kulipa faini ya Milioni 2

Baada ya hukumu ya Wema Sepetu kutoka leo July 20,2018 na kuhukumiwa mwaka mmoja jela au kulipa faini ya shilling Milion 2 kutokana na kupatikana na hatia ya kutumia dawa za kulevya aina ya bangi , Mpenzi wa zamani wa Wema Idris Sultan ameandika yafuatayo. Idris amesema kuwa atamsaidia kulipa faini hiyo ya Milion 2 aliyoamuriwa na mahakama ambapo m aneno hayo ameyasema kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya ku-post nusu picha ya Wema Sepetu na kuandika “🍒 wa sultan hawakai mbali na Sultan kama vipi nitalipa 😒”